TUMAINI SDA CHOIR KIZOTA DODOMA | KUJA KWA YESU 4k | (Official Video) - 2025
Автор: TUMAINI SDA CHOIR KIZOTA DODOMA
Загружено: 2025-12-31
Просмотров: 832
Yesu atashuka kutoka mbinguni akiongozana na majeshi ya Mbinguni, ambayo ni malaika na watakatifu waliokuwa wamenyakuliwa hapo kabla. Atakuja na utukufu mkubwa, na hakuna mwanadamu atakayeweza kukataa au kujificha na uso wake. “Lakini mara, baada ya dhiki ya siku zile, jua litatiwa giza, na mwezi hautatoa mwanga wake, na nyota zitaanguka mbinguni, na nguvu za mbinguni zitatikisika; ndipo itakapoonekana ishara yake Mwana wa Adamu mbinguni; ndipo mataifa yote ya ulimwengu watakapoomboleza, nao watamwona Mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na nguvu na utukufu mwingi.“ unapotazama wimbo huu unaweza kushea link kwa marafiki pia usisahau ku subscribe.
#TumainiChoirKizota #KizotaNetEvent #viral #popural #sdasongs#Hopechanel #happysabbath #sdachurch #sdachoir
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: