NAFASI YA MAHUJAJI KUWA NA MAADILI MEMA KIVITENDO
Автор: HAKIMU TV
Загружено: 2023-06-09
Просмотров: 162
Khutba Swala ya Ijumaa ya tarehe 9 Juni, 2023, kutoka kwa Sayyid Aidarus Alwy, katika Masjid Swafaa, Lamu Kenya. Mada ni NAFASI YA MAHUJAJ KUWA NA MAADILI MEMA KIVITENDO.
Ni muendelezo wa Jumbe mbalimbali zinazohusu fadhila na nafasi ya Mahujaji, pindi wanapomaliza kutekeleza ibada tukufu ya Hijja, ambayo iliasisiwa na Nabii Ibrahimu (a.s)
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: