ANAFANYIWA JAMBO BAYA SANA NA MWANAMKE ALIEMPENDA TOKA UTOTONI | ITAKUFUNDISHA
Автор: Mr. Khan recaps
Загружено: 2025-10-22
Просмотров: 22025
Kijana kundan alimpenda binti zoya toka wakiwa watoto akitamani siku moja aje kuwa mke wake, miaka baada ya kusonga anakuja kugundua binti anatamani kuolewa na kijana mwingine, kundan hakukata tamaa lakini juhudi zake zikaleta madhara makubwa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: