MUUZA CHIPS AMKAANGA ABDUKIBA ATOA ZA NDANI UGUMVI MZITO ULIVYOKUWA KISA DENI LA 8000,KUVUNJIWA KIOO
Автор: Bongo5
Загружено: 2026-01-17
Просмотров: 1236
Muuza Chips Anasema Kwamba Baada Ya Vurugu Zote kaka Yao Ambae Ndo Mmiliki Wa Kibanda Cha Chips Alipelekwa Polisi Na Abdukiba Na Badae Akatakiwa Kumlipa Laki Tatu kwa kupasua kipo cha Gari Wakawa Hawana ikabidi Wamlipe Laki Mbili
Muuza Chips Huyo Anasema Kwakua Abdukiba Ndo Aliwakosea Hawawezi kumsamehe fedha hizo hata siku akifa Wataenda msibani Kwake Shiling Elfu kumi Ya Chips Pamoja Na Laki mbili Aliyowalipisha
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: