“Atakufa Aliyegusa Mwili wa Humphrey” – Mama wa Polepole Atangaza Vita
Автор: HARAKATI TV
Загружено: 2026-01-06
Просмотров: 91709
Kauli nzito ya mama wa Humphrey Polepole imeibua mjadala mkubwa wa kitaifa baada ya kuvunja kimya cha siku 92 tangu mwanaye atoweke mikononi mwa watu wasiojulikana. Akizungumza kwa uchungu na hasira, mama huyo amesema maneno mazito yaliyochukuliwa na wengi kama tangazo la vita, akionyesha maumivu ya familia na maswali yasiyo na majibu.
Humphrey Polepole, aliyewahi kuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM na Balozi wa Tanzania nchini Cuba, alitoweka Oktoba 6, 2025, na hadi sasa hakuna mamlaka iliyoeleza alipo wala hali yake ya usalama.
Je, kauli hii ya mama inaashiria hatua mpya katika harakati za kuitafuta haki na ukweli?
Tazama uchambuzi huu mzito na shiriki maoni yako.
👇 Toa maoni yako kwenye comments
👍 Like | 🔔 Subscribe | 🔁 Share
📺 harakatitv
• Uchambuzi wa Siasa:
• Breaking News:
• Ripoti za Maoni:
#siasatanzania #uchambuzi #harakatitv #ccm #chadema #tundulissu #uchaguzi2025 #breakingnews
News Theme 1 by Audionautix is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 license. https://creativecommons.org/licenses/...
Artist: http://audionautix.com/
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: