Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Tazama Kwaya ya Viziwi SIku ya Maadhimisho ya Wiki ya Viziwi Kitaifa Singida

Автор: OPK TV

Загружено: 2025-09-28

Просмотров: 189

Описание:

📚 Viziwi wakiimba na kuonesha jinsi wanavyopata changamoto za Mawasiliano katika huduma mbalimbali na kuonesha namna ghani lugha ya Ishara ina umuhimu kwa Viziwi.

Nae Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Halima Dendego, ameagiza kuhakikisha huduma za afya zinajumuisha watu wenye ulemavu wa kusikia kwa kuajiri wataalamu wa Lugha ya Ishara. Agizo hili limeelekezwa kwa Mganga Mkuu wa Mkoa, Dkt. Victorina Ludovic, ambaye ameahidi kulitekeleza mara moja ili kuhakikisha viziwi wanapata huduma bora, sawa na wengine.

Walimu wa Lugha ya Ishara na viongozi wa CHAVITA (Chama cha Viziwi Tanzania) wametoa wito wa kuongezwa kwa walimu na kuendelea kupewa kipaumbele kwenye huduma za kijamii.

👉 Maadhimisho ya Wiki ya Viziwi Duniani Singida yamebeba kauli mbiu ya kuunda uchumi jumuishi, kutoa elimu ya haki za viziwi, na kuhakikisha kila mmoja anapata huduma bila vikwazo.

📌 Tazama video hii kujua kwa undani mikakati ya Mkoa wa Singida kuboresha huduma za afya kupitia Lugha ya Ishara.

✨ Subscribe kwa taarifa zaidi kuhusu haki za kijamii na maendeleo ya makundi maalum.
💬 Toa maoni yako: Je, tunawekeza vya kutosha kuhakikisha viziwi wanashiriki sawa na wengine?

📍 #Singida #Kilimo #Uwekezaji #Tanzania #FursaZaKilimo #Uvuvi #Mifugo #AgricultureInvestment🛬

Karibu Singida — Karibu kujenga kesho!
📍 Njoo uguse uhalisia wa maendeleo.
📞 Kwa mawasiliano na taarifa zaidi, wasiliana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida au kituo cha uwekezaji kilichoko ndani ya mkoa.

👇 Usiache ku-like, ku-share, na kusubscribe ili kufuatilia makala nyingine za maendeleo na uwekezaji Tanzania!

#KaribuSingida #FursaSingida #WekezaSingida #MkoaWaSingida #UwekezajiTanzania #TanzaniaInakuwezesha #JengaKesho #WekezaTanzania #ViwandaNaKilimo #SingidaYajengwa #SingidaInavyoletaMaendeleo #SingidaLandOfOpportunities #MadeInSingida #AfyaElimuNaUwekezaji #SingidaGreenEnergy #SingidaTourism
#SisiNiSingida #InvestInSingida #SingidaForInvestors #SingidaNdiyoMahali #BiasharaNaMaendeleo #UchumiImara #SingidaOnTheMove #KaribuKuwekeza #KaribuTanzania #WezeshaMaendeleo #SingidaSmartRegion

‪@TBC_Online‬ ‪@BBC‬ ‪@BBCNewsSwahili‬ ‪@bbcradio1‬ ‪@VaticanNews‬ ‪@simbasctanzania255‬ ‪@YoungAfricansSCTV‬ ‪@MsemajiMkuuwaSerikali‬ ‪@RTWAFF‬ ‪@singidaonlinetv‬ ‪@kindaiplus‬ ‪@singidars‬ ‪@Singidaplus‬ ‪@ikulutanzania255‬ ‪@kevingatesTV‬ ‪@Telemundo‬ ‪@gags‬ ‪@YoungAfricansSCTV‬ ‪@AdobeVideo‬ ‪@Adobe‬ ‪@AdobeCreativeCloud‬ ‪@AdobeExpress‬ ‪@Photoshop‬ ‪@Adobeinaminute‬ ‪@adobecreativestation‬ ‪@Substance3D‬ ‪@onesmokisusa‬ ‪@opkstudioz‬ ‪@opkmediaz‬ ‪@opkradio‬ ‪@opkstudioz‬ ‪@opktvs‬ ‪@taha.assaad‬ ‪@CAF_TV‬ ‪@NBA‬ ‪@NBC‬ ‪@crdbbankplc7198‬ ‪@CrownMediaTZ‬ ‪@millardayoTZA‬ ‪@DJI‬ ‪@tecnoart101‬ ‪@Apple‬ ‪@AppleIndia‬ ‪@AppleBrasil‬ ‪@AppleMexico‬ ‪@Samsung‬ ‪@SamsungIndia‬ ‪@StudioBinder‬ ‪@SonySAB‬ ‪@sonymusicindiaVEVO‬ ‪@SonyMusicIndia‬ ‪@SonyMusicSouthOfficial‬ ‪@SonyPAL‬ ‪@Oscars‬ ‪@dramaboxapp‬ ‪@fifa‬ ‪@azamtvtz‬ ‪@azamtvtz‬ ‪@EastAfricaTV‬ ‪@EastAfricaRadio‬ ‪@africanews‬ ‪@africanewsfr‬ ‪@aljazeera‬ ‪@channelnewsasia‬ ‪@Wasafi_Media‬ ‪@TheCatholicTablet‬ ‪@SupercarBlondie‬ ‪@KidsTvAfrica‬ ‪@CNN‬ ‪@DWDocumentary‬ ‪@FactDwaar‬ ‪@VOANews‬ ‪@HISTORY‬ ‪@TIME‬ ‪@opkradio‬ ‪@opkstudioz‬ ‪@opkmediaz‬ ‪@onesmokisusa‬ ‪@BBC‬ ‪@VaticanNews‬ ‪@opkradio‬ ‪@VOANews‬ ‪@TBC_Online‬

Tazama Kwaya ya Viziwi SIku ya Maadhimisho ya Wiki ya Viziwi Kitaifa Singida

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Просыпаетесь между 3 и 5 утра? Сделайте ЭТИ 5 вещей | Еврейская Мудрость

Просыпаетесь между 3 и 5 утра? Сделайте ЭТИ 5 вещей | Еврейская Мудрость

CHEKI JINSI PROF KABUDI ALIVYOTOA HISTORIA YA MKOA WA SINGIDA, KISWAHILI CHAKE CHAWAKUNA WENGI

CHEKI JINSI PROF KABUDI ALIVYOTOA HISTORIA YA MKOA WA SINGIDA, KISWAHILI CHAKE CHAWAKUNA WENGI

ALAMA ZA VIZIWI KWA MAJINA YA MASTAA BONGO / JPM,DIAMOND ,KIBA NA SAMATTA

ALAMA ZA VIZIWI KWA MAJINA YA MASTAA BONGO / JPM,DIAMOND ,KIBA NA SAMATTA

Артем Боровик, за 3 дня до гибели о Путине

Артем Боровик, за 3 дня до гибели о Путине

История Византии за 13 минут

История Византии за 13 минут

WANA NCHI WA KIMARA WATO WIMBO WAO WA HUZUNI KUHUSU TAREHE 29

WANA NCHI WA KIMARA WATO WIMBO WAO WA HUZUNI KUHUSU TAREHE 29

Tazama IGIZO la Viziwi katika Wiki ya Viziwi Duniani  | Kitaifa Singida

Tazama IGIZO la Viziwi katika Wiki ya Viziwi Duniani | Kitaifa Singida

Как описана ВТОРАЯ МИРОВАЯ в учебниках ЯПОНИИ

Как описана ВТОРАЯ МИРОВАЯ в учебниках ЯПОНИИ

Андрей Фурсов. Кто мешает Путину навести порядок? Что такое Черный Интернационал или Аристократия?

Андрей Фурсов. Кто мешает Путину навести порядок? Что такое Черный Интернационал или Аристократия?

ПЛОХИЕ НОВОСТИ ДЛЯ КИЕВА ❗

ПЛОХИЕ НОВОСТИ ДЛЯ КИЕВА ❗

ИХ НАСТОЯЩИЕ ИМЕНА ВАС ШОКИРУЮТ! Кто на самом деле правил СССР?

ИХ НАСТОЯЩИЕ ИМЕНА ВАС ШОКИРУЮТ! Кто на самом деле правил СССР?

Świetny film akcji, który naprawdę warto obejrzeć | BIAŁY TYGRYS | Filmy po polsku

Świetny film akcji, który naprawdę warto obejrzeć | BIAŁY TYGRYS | Filmy po polsku

Jeshi la polisi Tanzania lapiga marufuku maandamano ya Desemba 9. Katika Dira ya Dunia TV

Jeshi la polisi Tanzania lapiga marufuku maandamano ya Desemba 9. Katika Dira ya Dunia TV

MIAKA 63 YA UHURU WAFUNGWA GEREZA LA SINGIDA WASHANGILIA NA MWARABU MWEUSI

MIAKA 63 YA UHURU WAFUNGWA GEREZA LA SINGIDA WASHANGILIA NA MWARABU MWEUSI

Tazama Kipaji cha Kiziwi akiimba katika kilele cha Wiki ya Viziwi Duniani | Singida

Tazama Kipaji cha Kiziwi akiimba katika kilele cha Wiki ya Viziwi Duniani | Singida

КТО СПАЛ С ЖЕНОЙ ГОРБАЧЕВА? Постыдная тайна, которую скрывал КГБ

КТО СПАЛ С ЖЕНОЙ ГОРБАЧЕВА? Постыдная тайна, которую скрывал КГБ

Какой из народов был первым в Центральной Азии? Археолог о раскопках древнейших городов

Какой из народов был первым в Центральной Азии? Археолог о раскопках древнейших городов

🇩🇪🇷🇺 Немка в России: Вся правда о русских — что они сделали со мной в Москве!

🇩🇪🇷🇺 Немка в России: Вся правда о русских — что они сделали со мной в Москве!

ОН ВЕРНУЛСЯ ИЗ КОСМОСА НЕ ОДИН. Почему СССР засекретил полёт 1978 года?

ОН ВЕРНУЛСЯ ИЗ КОСМОСА НЕ ОДИН. Почему СССР засекретил полёт 1978 года?

Эту ДНК несут лишь единицы. Тайна ашкеназских евреев

Эту ДНК несут лишь единицы. Тайна ашкеназских евреев

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]