JANGWA LA WACHAWI PANGANI KUOTESHWA MIKOKO
Автор: Khomein Tv
Загружено: 2025-07-26
Просмотров: 87
Jitihada zinafanywa na Wanakikundi cha Usimamizi wa Rasilimali za Bahari (BMU) Pangani Magharibi mkoani Tanga, kurejesha uoto wa asili wa miti ya Mikoko katika eneo la Jangwa la Wachawi, lililoathiriwa kutokana na shughuli za kibinadamu.
Ofisa Uvivu wa wilaya ya Pangani Joel Mabagala, hapa anafunguka juu ya tafu la Shirika la Kimataifa la Uhifadhi Mazingira na Uasili (IUCN) kwa BMU ya Pangani Magharibi, waliowezeshwa ili kurejesha mikoko eneo hilo, kupitia mradi wa Bahari Mali.
#KhomeinTvUpdates
✍️Juma Mohamed-Tanga
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta & Threads @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: