NAS B: Kuhusu 20 Percent Dah Inauma Sana!!!
Автор: Global TV Online
Загружено: 2017-09-14
Просмотров: 16575
Subscribe / uwazi1
Msanii wa mziki wa kizazi kimpya maarufu kama bongo fleva Nas B, ameelezea ujio wake mpya wa nyimbo yake inayowenda ka jina la Mbigili.Ameeleza sababu zilizo mfanya awe kimya kwa mda mojawapo ikiwa ni kutingwa na shughuli zake za uproduza uku akieleza kazi aliweza kufanya kama produza wa mziki wa kazi za bongo fleva na mziki wa injili. Pia aelezea juu ya management yake mpya. Sambamba na hilo aelezea uhusiano wake na msanii mwenzakeTwenty percent , pia aelezea changamoto mbalimbali za mziki wa sasa ukilinganisha na wa kipindi kilicho pita.
/ uwazi1
/ uwazi1
/ uwazi1
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: