"HAMJACHAGULIWA KUJA KUSHUGHULIKIA MTU" DC MWANSASU AWACHANA MADIWANI
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2025-12-05
Просмотров: 486
Mkuu wa wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe Zacharia Mwansasu amewaonya madiwani wa halmashauri hiyo na kuwataka kujenga hoja kwa ajili ya maendeleo kuliko kwenda kushuhulikia watu waliokwazana nao.
Mwansasu ameeleza hayo wakati akizungumza na madiwani mara baada ya uapisho ambapo amesema wananchi wanasubiri maendeleo lakini sio migogoro baina yao na watumishi wa halmashauri.
"Wananchi huko nje wanasubiri mlete maendeleo katika yale mliyojinadi na hawasubiri kwamba katika halmashauri kuna mihongano kati ya watumishi na madiwani"amesema Mwansasu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: