DED RUNGWE :TUNATAMBUA MCHANGO MKUBWA WA JESHI LA AKIBA
Автор: BETE TV
Загружено: 2025-09-30
Просмотров: 95
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Bwana @renatus_blas amepata nafasi ya kuzungumza na Askari wa Jeshi la Akiba Makao makuu ya Wilaya ya Rungwe leo Tarehe 30.9.2025 Mapema Asubuhi, Lengo likiwa ni kuwapongeza kwa kazi nzuri wanayoifanya ya uzalendo kwa nchi ya Tanzania , pamoja na Kuboresha maslahi yao huku akiwaomba kudumisha nidhamu na utii kwa ustawi bora wa nchi ya Tanzania na watu wake kwa ujumla.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: