Sumaye: Hata Waziri Mkuu Majaliwa hili halijui
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2020-08-08
Просмотров: 435
#Sumaye #NaneNane #Simiyu #Wakulima #Majaliwa
Waziri Mkuu Mstaafu, Fredirick Sumaye ni miongoni mwa wageni waalikwa walioalikwa katika kilele cha Maonesho ya wakulima maarufu kama NaneNane ambapo ameweka wazi kuwa kipindi cha uongozi wake akiwa Naibu Waziri alishawishi serikali kuweza kuanzisha maonesho hayo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: