MIILI ZAIDI YA 200 KUFUKULIWA VINGUNGUTI, MEYA AFUNGUKA "MIILI MINGI IMESOMBWA NA MAJI "
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-12-28
Просмотров: 1089167
Miili zaidi ya 200 imefukuliwa katika makaburi ya Vingunguti Mkoani Dar es salaam na kuhamishiwa makaburi ya Mwanagate.
Meya wa Jiji la Dar es salaam, Kumbilamoto, amesema uamuzi wa kuhamisha makaburi unakuja kufuatia Mto kupanuka na kusomba miili.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: