TANGA JANUARY MAKAMBA AACHWA BUMBULI
Автор: Tanga Tanzania TV
Загружено: 2025-07-29
Просмотров: 19767
Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimewateua Wagombea sita kugombea Ubunge Jimbo la Bumbuli Mkoani Tanga akiwemo Hidaya Kilima, Zahoro Rashid Hanuna, Eng. Ramadhan Singano, Rashid Salimu, Silas Joram na John Aloyce huku Mbunge wa sasa Jimbo hilo January Makamba jina lake likiachwa.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla ametangaza majina hayo leo July 29,2025.
#tanga_tanzania #bumbuli #ccm #matokeo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: