ANGELINA MABULA CCM MSHINDI JIMBO LA ILEMELA MWANZA
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2020-10-29
Просмотров: 2087
#millardayoUPDATES
Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Ilemela Mwanza John Wanga amemtangaza Angelina Mabula wa Chama cha Mapindizu CCM kuwa mshindi wa Ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 147, 724 akifatiwa na Grayon Warioba wa CHADEMA 24, 022 pamoja na Mkiwa Kimwanga kura 1,761 wa ACT
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: