Yafahamu maradhi ya macho yanayoathiri Watanzania wengi wetu na namna ya kuyatibu kwa wakati.
Автор: AfyaCheck
Загружено: 2024-09-03
Просмотров: 195
AfyaCheck wiki hii tumeitembelea kliniki ya kibingwa ya matibabu ya macho iitwayo Optical Center iliyopo Kawe, Dar es Salaam na kuzungumza na mtaalam bingwa wa macho Mkunde Stephen Kibwana, BSc (Hons) MCOptom pamoja na Wilson Chamshama ambao wamezungumzia kwa kirefu kuhusu maradhi ya macho yanayokumba Watanzania wengi na nini cha kufanya ili kuyatibu na kuokoa uwezo wa kuona.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: