MKE ATAKA MUME WAKE APATIKANE AWE HAI AU AMEFARIKI, "HATA KAMA AMEKUFA WATUPE" MOSHI.
Автор: GADI TV
Загружено: 2025-08-11
Просмотров: 29989
Ni zaidi ya siku 20 zimepita tangu dereva bodaboda anayefahamika kwa jina la Deogratius Shirima (34) mkazi wa kata ya Korongoni wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, kudaiwa ametoweka katika mazingira ya utata huku pikipiki aliyokuwa akitumia kukutwa nyumbani kwa Askari Polisi mkoani humo.
Mke wa Deogratius akizungumza na GADI TV akiwa nyumbani kwake wilayani humo, amesema pikipiki hiyo ilibainika kuwa ipo nyumbani kwa Askari Polisi anayetajwa kwa jina moja la Rama, baada ya mmiliki wa pikipiki hiyo kufanya kitendo cha ‘ku-track’.
#breakingnews #live #like #latestnews #livestream #breakingnews #news #trending
GADI TV ndiyo
Channel pekee inayokuwezesha kupata Habari za Kisiasa,Michezo, Kijamii, na Burudani kutoka Ndani na Nje ya Tanzania. Kwa huduma ya Matangazo au Habari pamoja na maoni na ushauri usisite kuwasiliana nasi kupitia namba za simu +255 769 780 063 au e-mail: [email protected]
Don't forget to SUBSCRIBE, LIKE, COMMENT and SHARE!!! # GADI TV
Thanks.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: