Zamu Yangu || Kenhut Youth Choir (Official Video 8k)
Автор: KENHUT YOUTH CHOIR - KYC
Загружено: 2023-11-26
Просмотров: 46892
Video produced by: Enovarts Creatives
Director: Leyman
Composed by: Gerrishon Omondi
Sang by: Kenhut Youth Choir (KYC)
Gmail:[email protected]
LYRICS
Zamu yangu itakapokamilika na mwili wangu utiwapo mavumbini historia ya dunia itapo fungwa je nitasimamaje siku ya hukumu matendo yangu yataniangusha au nitasimama nikiwa mshindi
Ombi langu Bwana nisimame nikiwa upande wako ukija kuwachukua walioshinda vita, vita vya imani nisije nikalia na kusaga meno siku hiyo bali niwe miongoni mwa wale waloshinda dunia
Wale waliolala katika Bwana wataamshwa kwenye ufufuo wa kwanza wawe warithi wa mji ule Yerusalemu uloandaliwa kwa jili yao watapoishi naye Mwokozi nawe ndugu fanya hima ili uwe mmoja kati yao
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: