Jennifer Kanumba: Walimu na wanafunzi walinitenga wakidhani ni mchawi kweli
Автор: Bongo5
Загружено: 2017-03-06
Просмотров: 481476
Staa wa utotoni, Hanifa Daudi maarufu kama Jennifer kwenye filamu za marehemu Steven Kanumba, amedai kuwa siku za mwanzo wakati ameingia kidato cha kwanza, walimu na wanafunzi walikuwa wakimuogopa wakidhani ni mchawi kweli.
Hanifa alikuwa akihojiwa kwenye kipindi cha Bongo Dot Home cha Times FM kinachoendeshwa na Raheem Da Prince.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: