DIAMOND PLATNUMZ anunua Gari Jipya TESLA CYBER TRUCK- Milioni 500
Автор: Rick Media
Загружено: 2024-11-20
Просмотров: 10662
Mwanamuziki #DiamondPlatnumz athibitisha kununua gari jipya Cybertruck - Tesla yenye thamani ya zaidi ya Milioni 500 za Kitanzania
.
Diamond Amethibitisha hilo kwenye video akiwa na Baba Levo ambaye alimwambia kuwa ni muda wa Diamond kununua Cybertruck - Tesla jambo ambalo Diamond alimjibu kuwa tayari ameshalilinua lipo Marekani bado kuletwa Tanzania tu
........................................................................
Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe YouTube channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: