SIRI ILIYOJIFICHA KWENYE NDEGE, MAINJINIA WAFUNGUKA "KUNA PUA, SIDE MIRROR, REVERSE"
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-04-12
Просмотров: 142449
Ayo Tv na Millardayo.com inakuletea mfululizo wa taarifa kuhusu Ndege ambayo inatumiwa kusafirisha abiria ama mizigo kutoka eneo moja hadi nyingine, huku kukiwa na mambo mengi usiyoyajua.
Vijana wawili wa Kitanzania ambao ni Mainjinia wabobezi wa mambo ya Ndege, wanatuelezea hatua ya awali ya kuijua ndege na jinsi inavyofanyakazi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: