NI KAMA NDOTO–CHEMCHEMI SDA MTONI WAMLILIA YOLENTA | LIVE MAJONZI, VILIO NA SIMANZI
Автор: RPS MEDIA NYAKANAZI ONLINE TV Biharamulo KAGERA
Загружено: 2025-04-14
Просмотров: 1107
#NI KAMA NDOTO – CHEMCHEMI SDA MTONI WAMLILIA YOLENTA | LIVE MAJONZI, VILIO NA SIMANZI | RPS HOPE MEDIA TANZANIA
#Vilio na majonzi vya kusikitisha mbele ya jeneza la dada yetu mpendwa Madam #Yolenta. Chemchemi Kwaya SDA Mtoni Nyakanazi, pamoja na Bustani Edeni, Ushindi SDA, na huduma za wanawakike #walikusanyika kwa sala na nyimbo za tumaini.
#Yolenta alikuwa mwanafunzi wa uimbaji tangu mwaka 2010, akishiriki sauti ya kwanza Chemchemi Choir SDA Mtoni, aliyeweza kurekodi zaidi ya nyimbo 80.
Wimbo huu wa majonzi umetia moyo Wanafamilia na waombolezaji wote mbele ya familia ya KIATAPE, pamoja na viongozi:
#Pr. Yohana Stanley – Mchungaji wa Mtoni
#Y.A. Raban Benjamin Masunzu – Mwalimu wa Kwaya & Promota wa vikundi vya wajasiriamali
#Karani wa Kanisa, Mzee wa Kanisa, na Tajiri Mtoto Tanzania
#Huduma hii imerekodiwa na: Raban Studio (Music, Audio, Video, Picha, Media, Internet, ICT)
Kupitia: RPS Hope Media Tanzania – Nyakanazi Biharamulo Kagera
Kwa huduma bora za kitaifa na kimataifa:
Audio & Video Production
Studio & Stationery
Internet Café na ICT
Shughuli za kijamii na kijamii kiuchumi
Wasiliana kwa huduma:
(+255) 0622 601 437
#ChemchemiChoirMTONI #SDAKwaya #NyakanaziGospel #SautiYaNyikani #BustaniEdeni #UshindiSDA #WAAwakeServices #VijanaKwayaMtoni #YolentaUsingiziWaMauti #TutamkumbukaDaima #RabanBenjaminMasunzu #RabanStudio #RPSHopeMediaTanzania #PaulKahigi #JoshuaKahigi #AlfaxsadKasozi #DaudiMarko #TRMNyakanazi #MTUNDUNyakanazi #MkutanoATAPE #MahubiriYaLeo #SeminaZaViongozi #MwenyekitiWaKijiji #MkuuWaWanawake #FamiliaIliomboleza #MkeWangu #MmeWangu #LoveLove #MahabaYaKweli #MwishoWaDunia #HabariZaLeo #UsalamaWaTaifa #KahigiNaRPSMarafiki #YolentaRafikiWaRPS
#NI KAMA NDOTO – CHEMCHEMI SDA MTONI WAMLILIA YOLENTA
LIVE: MAJONZI, VILIO NA SIMANZI
RPS HOPE MEDIA TANZANIA – NYAKANAZI BIHARAMULO KAGERA
Katika hali ya huzuni, vilio na majonzi, familia ya #Chemchemi Choir SDA Mtoni Nyakanazi imeungana na waumini kutoka #Bustani Edeni, Ushindi SDA,
SAUTI YA NYIKANI KWAYA NYAKANAZI #pamoja na huduma ya wanawake, kuaga kwa majonzi dada yetu mpendwa Madam Yolenta.
#Yolenta alikuwa nguzo ya kwanza katika huduma ya uimbaji, akiitumikia sauti ya kwanza tangu mwaka 2010, na kushiriki kurekodi zaidi ya nyimbo 80 zenye ujumbe wa tumaini.
Shughuli hii ya mazishi imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo:
Pr. Yohana Stanley – Mchungaji wa Kanisa la SDA Mtoni
Y.A. Raban Benjamin Masunzu – Mwalimu wa Kwaya na Promota wa Vikundi vya Ujasiriamali
Karani wa Kanisa, Mzee wa Kanisa, Tajiri Mtoto Tanzania, pamoja na familia ya KIATAPE
Wimbo wa kuaga umetumbuizwa mbele ya jeneza, kwa hisia kuu na machozi ya wapendwa walioguswa na huduma ya kipekee ya dada yetu Yolenta.
Huduma hii imeandaliwa na kurekodiwa na:
Raban Studio – Music | Audio | Video | Photography | Media | Internet | ICT
Kupitia: RPS HOPE MEDIA TANZANIA – Kwa huduma za kisasa na zenye ubora wa hali ya juu.
MITANDAO RASMI YA RPS COMMUNITY CENTRE:
Facebook: RPS COMMUNITY CENTRE TZ
YouTube: RPS MEDIA HOPE TV TANZANIA
Instagram: RPS MEDIA TANZANIA
TUNATOA MAFUNZO YAFUATAYO:
Kompyuta kwa gharama nafuu
Music, Audio, Video & Media Production
Masomo ya biashara, ujasiriamali na ICT
Ushauri wa kuanzisha biashara zenye tija
Kozi za Applied Computer & Business Skills
Kwa mawasiliano:
(+255) 0622 601 437 | 0763 773 518
#TutamkumbukaDaima | #YolentaUsingiziWaMauti
#ChemchemiChoirMtoni | #RPSHopeMedia | #RabanBenjaminMasunzu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: