UTAMBULISHO WA WACHEZAJI WAPYA WA KIGENI WA YANGA
Автор: ufmradiotz
Загружено: 2025-09-13
Просмотров: 26788
BENJAMIN MKAPA STADIUM
Jinsi walivyotambulishwa wachezaji wapya kutoka nje ya Tanzania;- Yumo Frank Asinki, Bala Conte, Celestine Ecua, Lassine Kouma, Mohamed Doumbia na Andy Boyeli,
Ni kilele cha Wiki ya Mwananchi ambayo inahitimishwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Bandari utakaopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, kuanzia saa 2:00 usiku
#MwananchiDay2025 #MwananchiDay #WikiYaMwananchi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: