MAOMBI YA KUVUNJA MAAGANO YA FAMILIA - MWL. ISAAC JAVAN - (Bible Study)
Автор: Isaac Javan
Загружено: 2020-10-10
Просмотров: 72909
/ isaacjavan
BWANA YESU asifiwe.
Shetani anapotaka kukaa mahali kwa muda mrefu, huwa anafunga agano, na mtu binafsi, familia, au ukoo. Agano linampa shetani haki ya kisheria katika ulimwengu wa roho, ya kuendelea kukaa miaka na miaka bila kuondoka. Ili kuweza kutembea kwenye ushindi katika maisha yako, ni lazima kuvunja maagano yote yasiyokuwa ya ki-Mungu. Katika somo hili, tegemea kujifunza mambo yafuatayo:
1. Utajifunza nini maana ya agano
2. Utajifunza kutambua washiriki wa agano
3. Utajifunza namna ambavyo agano linafuatilia damu ya familia/ukoo
4. Utajifunza madhara ya kiroho yanayotokea pale agano linapovunjwa na wanafamilia/ukoo
5. Utajifunza maagano ya milango
6. Utajifunza njia bora zaidi ya kuvunja maagano kibiblia.
Maombi/Huduma (+255 745 76 45 72) (Email: [email protected])
Karibu sana, ubarikiwe na BWANA YESU milele. Ameen!
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: