Elimu juu ya oil za magari hapa Tanzania.
Автор: Tanzania cars channel
Загружено: 2021-11-13
Просмотров: 848
kumekua na changamoto ya uelewa juu ya oils za magari na muda wa kubadirisha (oil change interval)
so kuna synthetic oil na mineral oil. synthetic oil ipo na additives za kuifanya idumu muda mrefu kwenye joto, wakati mineral oil yenye haina additives nyingi.
kuna oil multi-grade na single grade, mult grade ni kama 5w-30,20w-50.... single grade ni SAE40.
sasa oil thickness ina matter sana unapoenda nunua oil kulingana na mazingira tunayoishi...namba ya mbele kwenye oil "W" ina maana ni "winter" kwamba the minimum cold weather the oil can not freeze.. so kwakua sisi watu wa Tanzania hatupo mazingira yenye ubaridi unaoenda mpaka 5°c hizo sio nig deal kutumia oil yenye hiyo viscosity.. kwayo sie ni bora kuchukua oil yenye viscosity kuanzia 15w-40 na kuendelea.
kumbuka thickness ya oil ina matter sana kwenye protection ya injini yako . so the thicker the oil the better the protection during hot environment.
uchaguzi wa oil na interval ya oil change unatakuwa kuzingatua muda, umbali gari imetembea, hali ya injini, aina ya mafuta gari inatumia., mazingira gari inafanya, na aina ya kazi gari inafanya, kama gari ni turbo au non turbo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: