#TAZAMA
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2022-12-14
Просмотров: 188
Na Diana Deus Karagwe
Wananchi wa kata ya kibona Kijiji Cha Nyakaiga wilayani Karagwe wamehaidi kuwa walinzi wa miundombinu ya maji na kutunza vyanzo vya maji Baada ya mradi wa Kibona ,Nyakahiga kukamilika kwa Fedha za serikali Uvico 19.
Mradi huo unaotarajia kuwahudumia wananchi zaidi ya 8,843 umetoka Fursa kwa wananchi kuunganushiwa maji majumbani kwao na na Mamulaka ya maji Vijijini Ruwasa wamefungua vituo vya kuchotea maji kwa wananchi ambao hawazidi mita 400.
Mkuu wa Wilaya ya Karagwe Julieth Binyura amefudahishwa na uwepo wa mradi huo huku akisistiza wananchi kuwa walinzi wa miundombinu na kuhakikisha wanantunza vyanzo vya maji kwa ajili ya vizazi vijavyo.
Naomba kutambulisha majina ya waliopata Fursa ya kuzungumza katika vidio hii Kama walivyofatana.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: