Jinsi ya kutengeneza beat katika fl studio | Gospel Tutorial 1
Автор: Richstar
Загружено: 2017-05-17
Просмотров: 11371
Jinsi ya kutengeneza beat katika fl studio | Gospel Tutorial Sehemu ya kwanza Inaelekeza jinsi unavyoweza Jinsi ya kutengeneza beat ya Gospel .
Japo kuwa mziki wa gospel kwa sasa umkuwa ni mziki ambao unaimbiwa katika midundo tofauti tofauti, Lakini kwa namna moja au nyingine wengi tumezoeaa WAIMBAJI wengi wakitumia Beat/Midundo ya Rumba, Zouck, RnB nk.
KUMBUKA KU SUBSCRIBE ILI USIIKOSE SEHEMU YA PILI
Ukiwa na Maoni ushauri au mapendekezo Basi usisite Kuuliza ktika sehemu ya Comment.
DOWNLOAD Beat ilioisha https://goo.gl/aM8OpS
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: