MILIONI 100 KUKARABATI SHULE YA MSINGI MPANDANGINDO
Автор: KUSINI NEWS
Загружено: 2025-11-11
Просмотров: 57
Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Mary Makondo amekagua mradi wa ukarabati wa shule ya msingi Mpandangindo katika Halmashauri ya wilaya ya Songea ambapo serikali kupitia program ya BOOST imetoa shilingi milioni 100 kutekeleza mradi huo
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: