Yanga SC walivyotua Misri kibabe kuwafuata Al Ahly, na kupata mapokezi ya aina yake
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-01-21
Просмотров: 6763
YANGA YATUA MISRI: Hivi ndivyo kikosi cha Yanga SC kilivyotua nchini Misri na kupata mapokezi ya aina yake kutoka kwa mashabiki.... wenyewe wanasema "Ugenini kama Nyumbani".
Yanga itakuwa na kibarua dhidi ya Al Ahly, mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika utakaopigwa Ijumaa Januari 23 saa 1:00 usiku na kukufikia Mbashara kupitia #AzamSports2HD
#YangaMisri #YangaSC #CAFCL
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: