Familia na marafiki wakusanyika kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Festus Amimo
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2025-12-17
Просмотров: 10100
Ndugu, jamaa na marafiki walikusanyika katika Kanisa Katoliki la St Andrew's kutoa heshima zao kwa marehemu Festus Amimo. Akikumbukwa kuwa mfanyakazi aliyejitolea, Amimo alitumia wakati wake kuwasaidia wale wasiojiweza katika jamii. Marehemu Amimo alitajwa kuwa mtu mwenye huruma na hekima ambaye alibadilisha maisha ya watu wengi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: