MKUYUNI YABADILIKA KIMYA KIMYA… HII HAPA SIRI YA DARAJA JIPYA
Автор: Mwanzo TV Plus
Загружено: 2026-01-19
Просмотров: 42
Ujenzi wa Daraja la Mkuyuni lililopo wilayani Nyamagana Jijini Mwanza unaelekea katika hatua ya mwisho baada ya mkadarasi anaetekeleza ujenzi huo kuikabidhi kwa wakala wa barabara Tanroad
Akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maendeleo ya mradi huo Mhandisi wa Daraja hilo Nestory James ameeleza kuwa tayari Daraja wamelikabidhi kwa Tanroad kwa ajili ya uangalizi nahatua nyingine
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE Youtube Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: