MBUNGE WA CCM BILA WOGA AFUNGUKA MBELE YA WASIRA WAKINAMAMA WANATOZWA LAKI TATU KUJIFUNGUA
Автор: Global TV Online
Загружено: 2025-03-16
Просмотров: 6243
MBUNGE WA CCM BILA WOGA AFUNGUKA MBELE YA WASIRA WAKINAMAMA WANATOZWA LAKI TATU KUJIFUNGUA
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepiga marufuku wajawazito wanaokwenda kujifungua hospitalini kutozwa fedha kwani huduma ya kujifungua ni bure na maelekezo tayari yalishatolewa.
Akizungumza mbele ya wananchi wa Mlowo katika Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe akiwa katika ziara yake ya kikazi Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Stephen Wasira amesema sera ya CCM inaeleza wazi huduma ya kujifungua pamoja na watoto wenye umri kuanzia mwaka 0-5 hawatatozwa fedha ,hivyo ni marufuku kuwatoza fedha.
Akiwa katika eneo hilo Wasira alipokea kero za wananchi hao wakidai wanawake wajawazito wanapokwenda kujifungua wanatakiwa kulipa fedha Sh.300,000 ili kupata huduma ya kujifungua hali iliyomshangaza na kutoa maelekezo ya kupiga marufuku huduma ya kujifungua kutozwa fedha.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: