Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Kanisa la Gwajima Lapitiwa na Bomoa Bomoa

Автор: Global TV Online

Загружено: 2017-09-07

Просмотров: 44986

Описание:

SUBSCRIBE NOW    / uwazi1  
KANISA la Ufufuo na Uzima lililopo Mbezi Inn linalomilikiwa na Askofu Josephat Gwajima limebomolewa. Nyumba hiyo ya ibada ambayo pia ilikuwa ikitumika kama kituo cha maombezi imebomolewa na Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads).

Imeelezwa kanisa hilo limejengwa ndani ya hifadhi ya Barabara ya Morogoro ya mita 121.5. Kwa mujibu wa waumini wa kanisa hilo, pia limekuwa likitumika kama kituo cha kufundishia wachungaji limebomolewa jana jioni hali iliyosababisha waumini wa Kanisa hilo kusalia nje. Vitu vikiwa nje na baadhi ya waumini wakiendelea na maombi nje.
Usipitwe na Matukio, Install Global Publishers App

Mmoja wa waumini ambaye hakutaka kujitambulisha kwa madai si msemaji, amesema kanisa leo limebomolewa lakini injili inaendelea kuhubiriwa kama kawaida .

“Tunaendelea na huduma na kesho tutakuwa na ibada itakayoanza saa kumi jioni “amesema.

Muumini mwingine pia amesema hali ilikuwa mbaya jana wakati kanisa hilo linabomolewa kwani waliwakuta wakiwa katika maandalizi ya kufanya maombi. Walifika jana wakatuambia tutoe vitu, ilibidi tuache kufanya maandalizi tukatoa vitu” amesema muumini huyo huku akikataa kutajwa jina kwa kuwa si msemaji mkuu wa kanisa hilo.
Subscribe, Like, Comment na Share kwa wengine...
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
   / uwazi1  
   / uwazi1  
   / uwazi1  
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK:   / globalpublis.  .
TWITTER:   / globalhabari  
INSTAGRAM:   / globalpubli.  .

Kanisa la Gwajima Lapitiwa na Bomoa Bomoa

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

MBOWE AMCHANA WAZI WAZI WAZIRI MKUU

MBOWE AMCHANA WAZI WAZI WAZIRI MKUU"WALIO MAGEREZA WAACHIWE,SERIKALI MKIRI MAKOSA/CHADEMA WAMEONEWA"

Jumba La Kifahari Lafurumishwa Na Bomoa Bomoa Dar

Jumba La Kifahari Lafurumishwa Na Bomoa Bomoa Dar

KANISA WANALOSALI WAUMINI WA GWAJIMA NA KKAM LABOMOLEWA, POLISI WAWEKA ULINZI

KANISA WANALOSALI WAUMINI WA GWAJIMA NA KKAM LABOMOLEWA, POLISI WAWEKA ULINZI

Hatimaye! MWIGULU ATUMBUA JIPU?

Hatimaye! MWIGULU ATUMBUA JIPU? "NIMEYAPOKEA" MAZITO AFUNGUKA

Maombi yenye nguvu ya hatari aliyoomba ASKOFU GWAJIMA siku ya JUMAPILI yazua jambo

Maombi yenye nguvu ya hatari aliyoomba ASKOFU GWAJIMA siku ya JUMAPILI yazua jambo

"KESHO TUTASALI KANISA KATOLIKI" ASKOFU WA KANISA LA GWAJIMA MWANAMAPINDUZI AFUNGUKA BAADA YA IBADA

Jibu la Gwajima Juu ya Kuhusika Biashara ya Madawa ya Kulevya

Jibu la Gwajima Juu ya Kuhusika Biashara ya Madawa ya Kulevya

Kanisa la Gwajima labomolewa usikuusiku Ubungo DSM

Kanisa la Gwajima labomolewa usikuusiku Ubungo DSM

Открытие Варбурга: 4 переключателя, которые мешают раку расти | Здоровье с Доктором

Открытие Варбурга: 4 переключателя, которые мешают раку расти | Здоровье с Доктором

OCD AOMBE MSAMAHA KWA KUSHUSHA BENDERA YETU, VINGINEVYO TUTAMPELEKA MAHAKAMANI-CHADEMA MBEYA

OCD AOMBE MSAMAHA KWA KUSHUSHA BENDERA YETU, VINGINEVYO TUTAMPELEKA MAHAKAMANI-CHADEMA MBEYA

KIMEWAKA! HECHE ASHINDIKANA, BILA HOFU AKIWASHA MBELE YA WAZIRI MKUU MSIBANI, AZUA KIZAA ZAA

KIMEWAKA! HECHE ASHINDIKANA, BILA HOFU AKIWASHA MBELE YA WAZIRI MKUU MSIBANI, AZUA KIZAA ZAA

ЛЕТАЮЩИЙ ТАНК': ИЛ-10 УНИЧТОЖИЛ 70 НЕМЕЦКИХ МАШИН ЗА ЧАС! Люфтваффе назвали его МЯСОРУБКОЙ СМЕРТИ!

ЛЕТАЮЩИЙ ТАНК': ИЛ-10 УНИЧТОЖИЛ 70 НЕМЕЦКИХ МАШИН ЗА ЧАС! Люфтваффе назвали его МЯСОРУБКОЙ СМЕРТИ!

Mbowe: Watu Wana Maumivu, Mkiri Ukweli, Rejesheni Uhuru wa Watu- CHADEMA Sio Wakorofi, Wameonewa

Mbowe: Watu Wana Maumivu, Mkiri Ukweli, Rejesheni Uhuru wa Watu- CHADEMA Sio Wakorofi, Wameonewa

Почему зарядка после 60 ускоряет потерю мышц? Парадокс сардинских долгожителей | ЗДОРОВЬЕ ДАРОМ

Почему зарядка после 60 ускоряет потерю мышц? Парадокс сардинских долгожителей | ЗДОРОВЬЕ ДАРОМ

Msikilize Askofu Gwajima baada ya tetesi za kufungwa kanisa lake

Msikilize Askofu Gwajima baada ya tetesi za kufungwa kanisa lake

🔴 LIVE: THANKS GIVING | 25 JANUARY 2026 | PASTOR JOHN SEMBATWA

🔴 LIVE: THANKS GIVING | 25 JANUARY 2026 | PASTOR JOHN SEMBATWA

Dzisiaj Informacje Telewizja Republika 24.01.2026 | TV Republika

Dzisiaj Informacje Telewizja Republika 24.01.2026 | TV Republika

Мне 73. Я жалею, что понял это только сейчас.

Мне 73. Я жалею, что понял это только сейчас.

Саудовская Аравия Перекачивает Миллиарды Литров Морской Воды по Гигантским Трубам в Пустыню!

Саудовская Аравия Перекачивает Миллиарды Литров Морской Воды по Гигантским Трубам в Пустыню!

Почки скажут вам: всего 1 стакан перед сном и ночные походы в туалет исчезнут | ПАМЯТЬ И МОЗГ

Почки скажут вам: всего 1 стакан перед сном и ночные походы в туалет исчезнут | ПАМЯТЬ И МОЗГ

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com