BREAKING: Kivuko cha MV Nyerere Kikivutwa kwa Tahadhari
Автор: Global TV Online
Загружено: 2018-09-28
Просмотров: 58043
BREAKING: Kivuko cha MV Nyerere Kikivutwa
IKIWA Jitihada za wataalam wa uokoaji kukinyanyua na kukigeuza kivuko cha Mv Nyerere zimeanza kuonyesha matumaini baada ya sehemu kubwa kivuko hicho kupandishwa juu ya maji na kuanza kuvutwa.
Mafanikio haya yanatokana na kazi iliyoanza kufanywa jana Jumatano Septemba 26, 2018 na wataalam hao kupitisha maboya maalum chini ya maji yaliyofanikisha kukisukuma juu.
Pamoja na maboya hayo, wataalam hao pia wametumia mbinu ya kujaza maji ndani ya meli ya Mv Nyakibalya na kuyapunguza kidogo kidogo huku Mv Nyerere iliyofungwa kwa kamba kwenye meli hiyo nayo ikipanda juu ya maji.
Karibia ubavu wote wa kushoto wa kivuko cha Mv Nyerere ipo juu ya maji ikionekana kwa macho tofauti na ilivyokuwa awali ambapo kilikuwa ndani ya maji.
Kivuko cha Mv Nyerere kilipinduka Septemba 20, 2018 na hadi sasa watu 230 wamekufa na miili yao kuopolewa. Watu 41 walinusurika katika ajali hiyo.
bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://ww.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 / uwazi1 WEBSITE:
https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: