BINTI AONDOA MIRIJA YA UZAZI, KUEPUSHA USUMBUFU KWA WANAUME "SIHITAJI MTOTO"
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2021-09-08
Просмотров: 9537
Binti mmoja Daktari wa miaka 25 raia wa India amefanya upasuaji ili kuondoa mirija yake ya uzazi ili asiweze kupata watoto.
Daktari huyo Priyanka Ramgoolam amesema katika maisha yake hajawahi kutamani kupata mtoto na hataki kamwe na ndio sababu ameachagua kuondoa chochote kinachoweza kusababisha yeye kushika ujauzito hata kwa bahati mbaya.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: