Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Profesa JANABI ataja sababu WATU kuzeeka mapema ''TUNZA afya ikusaidie UZEENI siyo FEDHA''

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2024-02-21

Просмотров: 190055

Описание:

https://track.pari-tz.com/dc83e7da-03...

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Profesa Mohamed Janabi amesema asilimia kubwa ya watu wanatunza fedha ili ziwasaidie uzeeni na kusahau kutunza afya zao.
Janabi amesisitiza tofauti na kutunza afya hakuna kitu kitakachokuwa na manufaa uzeeni kama afya imetetereka ikiwamo fedha.
"Nafikiri ungetunza afya ikusaidie uzeeni kwa sababu fedha hizi zitakuja kukusaidia kulipia matibabu ya magonjwa hospitalini. Unafanya kazi miaka, unahangaika mjini miaka yote ili ukipata fedha uanze kuja kulipia betri za moyo nafikiri hiyo sio nzuri," amesema Profesa Janabi.

Janabi amesema hayo alipofanya mahojiano na vyombo vya habari Jijini Dar es Salaam, huku akisema hajawahi kuwakataza watu wasile chakula, bali wasile ovyo na kula kwa wastani ili kuepuka magonjwa yasiyo ya lazima.
"Tunashauri kupunguza vyakula vya wanga na vyenye sukari.”
“Pia tunakataza ulaji wa vyakula vya kusindika, kwa sababu ili vikae muda mrefu kwenye shelfu lazima viwekwe kemikali, chumvi na sukari," amesema Profesa Janabi.

Ili kufahamu zaidi alichozungumza Profesa Janabi, usikose Jarida la Afya Februari 23, 2024 pia endelea kufuatilia gazeti la Mwananchi na mitandao yake ya kijamii.

Profesa JANABI ataja sababu WATU kuzeeka mapema ''TUNZA  afya ikusaidie UZEENI  siyo FEDHA''

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Wanga Rafiki na Wanga adui kwa wengi kisukari,Uzito mkubwa na Kitambi

Hii Ndio Sababu Ya Watu Wengi Kupata Vitambi Bila Kujua - Prof Janabi

USIPOFANYA HAYA KISUKARI NA MAGONJWA MENGI YA HATARI YANAKUHUSU, PROF.JANABI ANAFAFANUA #news #afya

FUATANA NA PROF. MOHAMED JANABI AKIZUNGUMZA KWA KINA KUHUSU MAGONJWA YASIYO YAKUAMBUKIZA

FUATANA NA PROF. MOHAMED JANABI AKIZUNGUMZA KWA KINA KUHUSU MAGONJWA YASIYO YAKUAMBUKIZA

Profesa JANABI ataja sababu WATU kuzeeka mapema ''TUNZA afya ikusaidie UZEENI siyo FEDHA''

Profesa JANABI ataja sababu WATU kuzeeka mapema ''TUNZA afya ikusaidie UZEENI siyo FEDHA''

Ukiona Dalili hizi Jua mkeo anakusaliti - Madam Leilah Aboubakar

#EXCLUSIVE: MKE wa PROFESA JANABI -AFICHUA RATIBA ya KULA-ANAVYOWASAIDI WENYE SHIDA ya AFYA ya AKILI

PROF JANABI AMJIBU MAZITO HAJI MANARA BAADA YA KUULIZWA KUHUSU LISHE, SIJAKATAA WATU WASILE

Я умоляю! НЕ пейте воду так по утрам - особенно если вам за 60! Бесценные советы академика. Горшков

HECHE AJIBU SWALI ZITO RAIS SAMIA KUJA MSIBANI AU LA?

HECHE AJIBU SWALI ZITO RAIS SAMIA KUJA MSIBANI AU LA? "HATUTAMBUI SERIKALI | MSIBA HAUNA KADI"

MBINU 6 ZA ASILI ZA KUZUIA ONGEZEKO UZITO/KUPUNGUZA UZITO NDANI YA MUDA MFUPI ~ Prof Mohamed Janabi

Vyakula vya Wanga ni Hatari | Unaharibu Kizazi Chako| Vipimo Milioni 8

🔴 NJIA BORA YA KUONGEZA NGUVU ZA KIUME NA KUJIKINGA NA MAGONJWA SUGU #news #afya #bbc #nguvuzakiume

Кот Который Ест Змей И Скорпионов. Барханный Кот- Самый Выносливый Кот В Мире....

HECHE AMJIBU MBOWE SAKATA LA CHADEMA KUONGOZA MSIBA,SWALI NZITO RAIS SAMIA KUJA KWA MZEE MTEI.

Zingatia Haya Ukitaka Kuishi Muda Mrefu Ukiwa Na Afya Njema - Prof Janabi

Лимфа стоит — болезни растут: главная ошибка после 50

PROF. JANABI : WATU MIL.18 VIFO VYAO VINASABABISHWA NA UNGONJWA WA MOYO SABABU HIZI HAPA

Mwenyekiti asimulia namna mtuhumiwa wa mauaji alivyompigia simu kufika eneo la tukio

MNH - AFYA PODCAST: PART THREE na Prof. Mohamed Janabi (INSULIN RESISTANCE)

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com