Ndugu wa waliofukiwa Mgodini Butiama wameanza kukata tamaa
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2017-02-17
Просмотров: 7266
Ni siku ya nne leo tangu kutokea tukio la watu kufukiwa ndani ya Mgodi Buhemba wilaya ya Bunda Mara ambapo juhudi bado zinaendelea za kuwaokoa Watu wanne walioko chini ya ardhi ambao haijulikani kama bado wapo hai.
Ndugu wa wahanga wameanza kupoteza matumaini ya kuwapata ndugu zao wakiwa hai, AyoTV imezungumza na baadhi ya ndugu ambao wapo eneo la tukio kwa siku ya nne sasa wakiwangoja ndugu zao kuokolewa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: