DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Podcast | Mchana | Oktoba 20, 2025 | Swahili Habari
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2025-10-20
Просмотров: 8031
Tuliyokuandalia katika Dunia Yetu Leo mchana ni pamoja na
Israel imeanza kuruhusu misaada kuingizwa tena katika Ukanda wa Gaza.
Rais wa Marekani Donald Trump amemtaka mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelensky kukubaliana na masharti ya Urusi ili kumaliza vita.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: