UKWELI Usiojulikana KUHUSU Mussa Zungu | Kutoka Uhandisi wa Ndege hadi Spika wa Bunge | FMB TV
Автор: FMB TV
Загружено: 2025-11-17
Просмотров: 440
Karibu kwenye video hii maalum inayochambua kwa kina historia ya Mheshimiwa Mussa Azan Zungu, mwanasiasa mkongwe wa Tanzania ambaye amehudumu kwa zaidi ya miongo miwili katika siasa za kitaifa. Tutaangazia:
Maisha yake ya awali na elimu
Safari yake ya kitaaluma kama mhandisi wa ndege
Kurejea kwake Tanzania na kuingia kwenye siasa
Nafasi alizoshika serikalini na bungeni
Uchaguzi wake kuwa Spika wa Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Usikose kujua jinsi alivyopanda ngazi kutoka kuwa mbunge wa Ilala hadi kuwa kiongozi wa chombo kikuu cha kutunga sheria nchini.
Subscribe kwa video zaidi kuhusu viongozi wa Tanzania
Toa maoni yako kuhusu mchango wa Zungu katika siasa za Tanzania.
Mussa Zungu
Historia ya Mussa Zungu
Wasifu wa Mussa Zungu
Spika wa Bunge Tanzania
Wanasiasa wa Tanzania
CCM Tanzania
Mussa Zungu Ilala
Maisha ya Mussa Zungu
Mussa Zungu biography
Mussa Zungu 2025
Viongozi wa Tanzania
Historia ya siasa Tanzania
Bunge la Tanzania
Mussa Zungu Spika
Mussa Zungu achievements
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: