Madhara Ya Huruma Kupitiliza au Kujali Sana Wengine
Автор: Success Path Network
Загружено: 2025-07-07
Просмотров: 2092
Fahamu Kwanini Kujali Sana Kunaweza Kukuletea Shida
Kuna wakati mtu huwa mwema kupita kiasi kwa watu wengine, lakini mwisho wa siku anabaki kuumia. Kwa nini hili hutokea? Katika somo hili, utagundua sababu za msingi zinazowafanya watu wenye huruma, uvumilivu na wema mkubwa kuishia kupata maumivu badala ya shukrani.
Mwanasaikolojia Said Kasege anazungumzia madhara ya tabia ya upole, huruma na uvumilivu kupita kiasi. Anafafanua jinsi tabia hizi zinaweza kusababisha matatizo pamoja na kutoa suluhisho la nini kifanyike.
Fuatilia somo hili muhimu na tafakari jinsi ya kujilinda huku ukiendelea kuwa mtu mwema.
Usisahau ku-share na wengine – huenda ukamwokoa mtu anayeumia kimya kimya kwa sababu ya moyo wake mzuri!
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: