Rais asema serikali kuu na kaunti zishirikiane kufadhili Gredi 10
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-01-26
Просмотров: 477
Rais William Ruto ametangaza kuafikiwa kwa makubaliano kati ya serikali ya kitaifa na serikali za kaunti kuhusu ugavi wa basari za kufadhili elimu ya wanafuzi kutoka familia zisizojiweza. Akizungumza akiwa ikulu hii leo, rais amesema kuwa japo jukumu la kutoa basari ni la serikali kuu ipo haja ya kuhusisha kaunti katika usambazaji wake mashinani. Haya yanajiri huku waziri elimu julius migos akiendelea kuwaonya walimu wakuu dhidi ya kukiuka amri ya rais ya kutowafungia nje wanafunzi wa gredi ya 10 wanaofika bila karo wale sare.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: