Mwongozo Kamili wa kilimo Bora Cha Mahindi: Mbolea, Magonjwa Na Sumu Sahihi za Wadudu.
Автор: maco TV 🖥️
Загружено: 2025-04-10
Просмотров: 5872
Jifunze hatua kwa hatua kuhusu kilimo bora cha mahindi kuanzia uchaguzi wa mbegu bora, maandalizi ya shamba, kupanda, matumizi ya mbolea sahihi, hadi udhibiti wa magonjwa na wadudu. Video hii inaelezea kwa kina aina za mbolea kama NPK, Yaramila Otesha, Kynoplus na Amidus pamoja na dawa bora za kudhibiti magonjwa kama ukungu na madoa kwenye mahindi. Pia utajifunza namna ya kupambana na wadudu kama Fall Armyworm kwa kutumia viuatilifu bora.
#KilimoBora #KilimoChaMahindi #WakulimaWaKisasa #FarmingInTanzania #MbeguBora #Mbolea #MagonjwaYaMahindi #WaduduWaharibifu #Agribusiness #TanzaniaAgriculture #Mahindi #FallArmyworm #Viuatilifu #FarmingTips #AgriTechTanzania
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: