Mjadala Waibuka Bungeni Kuhusu Upasuaji wa Kuongeza Makalio na Viungo Vingine, 'Haiko Kwenye Sera'
Автор: The Chanzo
Загружено: 2024-02-12
Просмотров: 1113
Mjadala mkali umeibuka Bungeni leo Februari 12,2024, baada ya Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuhoji sababu ya hospitali ya Muhimbili kuanzisha upasuaji wa kuongeza sehemu mbalimbali kama makalio na matiti, upasuaji aliouita ni urembo.
Mpina ameeleza kuwa hakuna sera maalum inayoangalia suala hilo, Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel alijibu na kuelezea afya ni zaidi ya kuumwa hata kuwa na matatizo ya kisaikolojia inahitaji uangalizi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: