NYOTA YA KAA(DP) ||PATA KAZI KWA URAHISI.
Автор: Mgeta official
Загружено: 2024-10-13
Просмотров: 317
Katika video iliyopita tulizungumza kuhusiana na nyota ya mapacha kwamba ni kwa namna gani watu wenye nyota ya mapacha wanaweza kupata kazi au kufanikisha jambo lolote lile kwa urahisi kwa mujibu wa nyota Yao.
Katika video hii tutazungumza ni kwa namna gani watu wenye nyota ya kaa wanaweza kupata kazi au kufanikisha jambo lolote lile kwa urahisi kwa mujibu wa nyota Yao.
Tulisema nyota ya kaa ni majina yote yanayoanza na herufi D au herufi P .
Usisahau ku subscribe, like, comment, share video hii kwa watu wengine ili tuweze kujifunza kwa pamoja.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: