Mfahamu Dk Salim na kisa cha Nyerere kuvishwa baibui
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2019-10-28
Просмотров: 27552
Dk Salim Ahmed Salim ni miongoni mwa wanadiplomasia wenye historia kubwa Afrika na Duniani kwa ujumla. Hivi karibuni, Dk Salim alipewa tuzo ya heshima ya juu ya urafiki na Rais wa China Xi Jinping kwa mchango wake katika taifa hilo. Daily News Digital inakuletea historia, harakati na maisha ya kiongozi huyo.
#DKSALIM #NYERERE #MAGUFULI #UN #AU #SALIMAHMEDSALIM #CHINA #XI JINPING
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: