Kusah x Ruby - Nadondosha (Official Video)
Автор: Kusah
Загружено: 2019-08-28
Просмотров: 2213488
#Kusah #nadondosha
(C) Kusah
Kusah Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
https://ffm.to/kusah
Written & Performed by Kusah
Lyrics
Verse 1
Ooooooh, Baba sikuhizi bila pesa hakuna mahaba japosawa nakaba leta ata kiduchu kwangu siyo haba(X2)
Mi mwenyewe mzuri kama nini naitaji manyenyekeo aah
Yani mi mzuri kama nini naitaji matunzo
Mwanaume gani unaringia jina
Nyumba huna we ata kiwanja huna
Gari huna ata pikipiki huna utaniweza kaka utaniweza wapi(X2)
Chorus
Nadondosha
Dooondosha, Dooondosha, Dooondosha
Naachia na dondosha
Dooondosha, Dooondosha, Dooondosha(X2)
Verse 2
Yani nilale mlango wazi lakini ridhiki si yangu
Mwisho wa siku nipate maradhi
Nilaumu moyo wagu
Mwanamke gani huna dogo?
Kilakitu nikikupa unazogo?
Hatakama kikosa kidogo unanuna…
Siku hizi ndani kama gogo
Ati anitaki anataka vigogo
Hata kama akiletewa kidogo anaguna guna
Mwanamke gani unaringia jina
Mume huna we ata mchumba huna
Busara huna we ata heshima huna, Dada we utanipata wapi mie(X2)
Chorus
Nadondosha
Dooondosha, Dooondosha, Dooondosha
Naachia na dondosha
Dooondosha, Dooondosha, Dooondosha(X2)
Insumental playing
Mwanaume gani unaringia jina
Nyumba huna we ata kiwanja huna
Gari huna ata pikipiki huna utaniweza kaka utaniweza wapi
Mwanamke gani unaringia jina
Mume huna we ata mchumba huna
Busara huna we ata heshima huna, Dada we utanipata wapi mie.
KUSAH
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: