Ahsante Yesu/ Thank you Jesus
Автор: HALELUYA UINJILISTI KKKT MAKOKA OFFICIAL
Загружено: 2025-12-19
Просмотров: 773
Kila wakati usiache kumshukuru MUNGU. Wakati mwingine tunavushwa kwenye magumu lakini bado tunamwamini Mungu anaweza kufanya. Ndio maana na sisi tunakuletea wimbo huu wa kumwambia Mungu ahsante. Ungana nasi umwambie Mungu ahsante hata hapo ulipofika ni Neema tu na sii kwa nguvu zako. Karibu uimbe nasi wimbo huu.
Always never stop thanking GOD. Sometimes we are faced with difficulties but we still believe God can do something. That is why we bring you this song to tell God thank you. Join us and tell God thank you even though you got there only by Grace and not by your own strength. Welcome to sing this song with us.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: