Historia imewekwa Kisiwa cha Tumbatu, Zanzibar
Автор: Mama Yuko Kazini
Загружено: 2023-04-26
Просмотров: 881
#Miaka59YaMuungano | TUMBATU, ZANZIBAR
"Kwa umri wa miaka 70 niliyoishi hapa Tumbatu, nimeona mradi mkubwa wa maji... ni huu ulioletwa na Rais wetu".
Mzee Ally Juma Ally akieleza namna mradi wa maji unaojengwa kwa fedha za UVIKO-19 zilizotolewa kwa Tanzania, ukavyomaliza adha ya maji katika kisiwa cha Tumbatu.
#MamaYukoKazini
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: