TUNA MAKAO MBINGUNI
Автор: Bro. Dr. E. N.
Загружено: 2023-12-03
Просмотров: 683
TUNA MAKAO MBINGUNI (KMC)
1. Tuna makao mbinguni alivyosema Bwana
Anatutengenezea sisi tumwaminio
Sasa wakati wa giza tuungane tu maskini
Kesho tutakwenda kwake tutajirike huko.
Kwa mbio.:
Kwake Yesu tuwe pamoja naye
Furahini Furahini furahi milele (2x)
2. Sasa katika mateso nayo huzuni yote
Tuzidi kumtegemea Bwana Mwokozi wetu
Nuru yafukuza giza tukae kwa salama
Bwana anatungojea kwake kule mbinguni
3. Atarejea mwokozi kazi itakomeshwa
Siku inakaribia ndiyo tunangojea
Kwa hiyo tukae macho atakaporejea
Atukute tu tayari kwenda naye mbinguni.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: