AUA MTOTO MIEZI MIWILI BAADA YA KUMUOA MAMA YAKE 'CHANZO NI MAPENZI'
Автор: GREEN FM TV
Загружено: 2025-10-23
Просмотров: 87
Mwanaume Shabani Emanuel (24) mkazi wa kitongoji cha ltema kata ya Tumbi, Manispaa ya Tabora anatuhumiwa kumuua mtoto wa mke wake, yaani mtoto wa kufikia (mtoto wa kambo) mwenye umri wa mwaka mmoja aitwaye Aisha Ally.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: