Sanaa:Bendi ya Sarabi
Автор: NTV Kenya
Загружено: 2012-08-23
Просмотров: 1959
Sanaa ni jambo muhimu katika jamii kwani kupitia kwayo, hata vijana wadogo wampata kujua talanta zao. Katika makala yetu ya sanaa hii leo tunaangazia bendi maarufu kwa jina sarabi. Bendi hii inayojumuisha vijana wa kutoka mitaa mbalimbali zikiwemo mtaa wa Huruma, mathare, Dandora na Kariobangi, imeweza kuzuru mataifa mbali mbali kupitia kwa muziki wao wa kuvutia.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: